Mahali Tunapofanya Kazi

You are missing some Flash content that should appear here! Perhaps your browser cannot display it, or maybe it did not initialize correctly.

Tangu kuundwa mwaka wa elfu moja mia kenda sabini na nne (1974), Jhpiego imeendelea sana kama shirika na kiongozi katika kazi ya kuendelesha na kuokoa maisha ya wakina mama na jamii duniani kote. Ingawa ujumbe wetu hujabadilika, jinsi tunavyofanya kazi yetu inaendelea kugeuka, kwa sababu mahitaji ya nchi tunapofanya kazi yamegeuka na pia ujuzi wetu umeongezeka. Kwa vile maarifa ya mifumo ya Jhpiego yamepana, miradhi na utaratibu yamegeuka na kuwa ya uga zaidi, ni ya kufaa, kunyambuka na ni nyedelevu.

Sasa tuna miradhi sitini yenye juhudi katika nchi arobaini. Kuokoa maisha duniani: Afrika, Asia, Amerika ya Kirumi na Karibiani na Ulaya. Bofya ramani tendana ya dunia kuelewa zaidi.

Afrika

Asia, Mashariki ya Karibu na Ulaya

Amerika ya Kirumi na Karibiani

Jhpiego ilianza kazi Afrika miaka ya mwishoe ya elfu moja mia kenda sabini (1970s) ilipoendesha utenzi wa mafunzo nchini Tunisia na Kenya. Sasa hivi Jhpiego ina juhudi nchini ishirini na tano Afrika. Kozi ya watoaji utunzaji wa afya mnamo mwaka wa elfu moja mia kenda sabini na tano (1975) ulitia ishara mwanzo wa kazi ya Jhpeigo Asia, Mashariki ya Karibu na Ulaya. Tangu wakati huo, Jhpeigo imehamisha maarifa ya mafunzo, upangaji uzazi na afya ya mama na watoto wachanga kwa maelfu ya watoaji wa afya nchini ishirini katika eneo hili. Kazi ya Jhpiego ya uga ilianza Amerika ya Kirumi na enzi ya Karibiani na miradhi katika nchi za Brazili na Kolombia. Wakati huo wote, Jhpiego imekuwa na juhudi nchini mbalimbali Amerika ya Kati, Amerika Kusini na enzi ya Karibiani.
     

Haki © 2000 Jhpeigo ni shirika la chuo kikuu cha Johns Hopkins. Haki zote zimewekwa

Sera ya tovuti  | Ramani ya tovuti | Maoni