Karibu kituo cha habari cha Jhpiego pahali utaweza kujijulisha juu ya shirika letu, miradhi yetu ya kimataifa na mitaji iliopo ya kufaidi vyombo vya habari. Gazeti la Jhpiego na tovuti zinatangaza maswala ya afya ya umma ya muhimu dunaini leo. Kupata habari ya kisasa juu ya kazi yetu, tafadhali jiandikishe.

Kwa taarifa zaidi, au kupanga kuhoji watalaamu wa afya ya ulimwengu wa Jhpiego, tafadhili wasiliana na Melody McCoy: simu - 410.537.1829 au barua pepe- mmccoy@jhpiego.net

Jhpiego hufanya kazi katika mistari ya mbele ya makao yasio na mitaji kote duniani kuzuia vifo vya bure vya mama na jamii zao. Kupitia utetaji, elimu ya wafanya kazi na uendelezaji wa mifumo ya afya, Jhpiego imesaida waundaji sera, serekali, waalimu na mashirika yasiokuwa ya serikali katika kusaidia ufikiaji wa rahisi na kupunguza vizingiti kufikia huduma za afya za cheo cha juu.

Sign Up
 
         

Haki © 2000 Jhpeigo ni shirika la chuo kikuu cha Johns Hopkins. Haki zote zimewekwa

Sera ya tovuti  | Ramani ya tovuti | Maoni